Mkali katika gemu hapa Tanzania aliyewahi kutingisha na bado anaendelea
kutingisha katika gemu la Bongo Flava mkali kutoka Mwanza PNC sasa
amerudi tena kwa kasi na ngoma mbili kali akidhihirisha kwamba yeye ni
msanii ambae hawezi kupotea na kipaji ni chake alichopewa…