
Pentezel amtangaza rasmi mwanaye Karliks
, Jack Pentezel ametangaza rasmi kuwa
na mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka sita hivi sasa na kumtaja jina
kuwa anaitwa Karliks
.
Akizungumza na Mwananchi, Jack alisema hajawahi
kuweka wazi awali, lakini kwa sasa anaona umuhimu wa kufanya hivyo kwa
kuwa ameolewa hivyo lazima familia yake iwe huru.
“Siku kubwa sana katika maisha yangu ni ile ambayo
nilipata mtoto wangu wa kwanza, mimi na mume wangu Gander tumekutana
akijua kwamba mimi nina mtoto
Kwa...