Kagasheki, Lembeli wapingana kwa takwimu
Share
bookmark
Print
Email
Rating
Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Khamis Kagasheki
Na Hakimu Mwafongo
(email the author)
Posted
Jumanne,Juni11
2013
saa
21:39 PM
Kwa ufupi
Taarifa za Serikali kuwa tembo 10,000 wanauawa
kila mwaka si sahihi kwa kuwa zimeandaliwa na maofisa wa Serikali kwa
ajili ya kuwatetea.
...