Baada
ya Maojiano na Bongo5 Diamond alisema kwamba alishindwa kuhudhuria
mashindano hayo kwa sababu alikua katika uzinduzi wa kinyaj kipya cha
Novida kutoka katika Kampuni ya vinyaji Coca cola hapa Tanzania na
imeweza kufanya balozi wa kinyaji hicho. Hiyo ndiyo sababu iliyomfanya
star wa Bongo Flava Diamond kutokuhudhuria Tuzo hizo ambapo yeye pia
alikuwa mshindi wa tuzo wakadha wakadha.
0 comments:
Post a Comment