Posted 22 hours ago
Dar. Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Seif
Shaban maarufu kama Matonya bado anaendelea kusota rumande mjini Songea
baada ya kukataliwa dhamana kutokana na kufanya utapeli baada ya kulewa
kupita kiasi na kushindwa kufanya shoo iliyoandaliwa na promota mmoja.
0 comments:
Post a Comment