Friday, 14 June 2013


Pentezel amtangaza rasmi mwanaye Karliks

, Jack Pentezel ametangaza rasmi kuwa na mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka sita hivi sasa na kumtaja jina kuwa anaitwa Karliks
.
Akizungumza na Mwananchi, Jack alisema hajawahi kuweka wazi awali, lakini kwa sasa anaona umuhimu wa kufanya hivyo kwa kuwa ameolewa hivyo lazima familia yake iwe huru.
“Siku kubwa sana katika maisha yangu ni ile ambayo nilipata mtoto wangu wa kwanza, mimi na mume wangu Gander tumekutana akijua kwamba mimi nina mtoto
Kwa sababu nilikuwa namwomba Mungu anipe mtoto wa kwanza wa kiume, ilikuwa furaha yangu sana kumpata huyo huyo wa kiume. Anaitwa Karliks na ana miaka sita sasa.
Mwigizaji huyo anayetamba katika filamu mbalimbali alifunga ndoa na mumewe Machi mwaka huu (Herieth Makweta)



Mwigizaji wa filamu nchini, Jack Pentezel BIG 4 MILL

0 comments:

Post a Comment

My Blog List