Friday 14 June 2013

MATONYA BADO ANAHANGAIKA RUMANDE SONGEAAAAA

Posted 22 hours ago
Dar. Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Seif Shaban maarufu kama Matonya bado anaendelea kusota rumande mjini Songea baada ya kukataliwa dhamana kutokana na kufanya utapeli baada ya kulewa kupita kiasi na kushindwa kufanya shoo iliyoandaliwa na promota mmoja.

0 comments:

Post a Comment

My Blog List