huko nchini china hari bado tete harakati za ukombozi bado ngumu
[image: Shughuli za uokozi baada ya tetemeko]
Shirika la habari la taifa la Uchina linasema kuwa watu 150 wamekufa katika
tetemeko kubwa la ardhi ambalo limeporomosha majengo na bara-bara katika
jimbo la Sichuan, kusini-magharibi mwa nchi.
Wanajeshi kama 6000 wamepelekwa kwenda kusaidia katika uokozi zaidi ya
kilomita 100 kutoka Chengdu, mji mkuu wa jimbo la Sichuan
.
Shughuli za uokozi zinatatanishwa na bara-bara zilizovunjika na simu
zilizokatika.
Waziri Mkuu, Li Keqiang, aliwasili huko haraka kuongoza shughuli hizo.
Tetemeko lilotokea katika jimbo la Sichuan mwaka wa 2008 liliuwa w... more »
0 comments:
Post a Comment