Waandishi Wetu Dar na Morogoro
KWAHERI mfalme wa freestyle! Ndivyo walivyokuwa wakisema mashabiki wa
aliyekuwa mkali wa Hip Hop Bongo, marehemu Albert Kenneth Mangweha
‘Ngwea’ wakati wakiuaga mwili wake, tayari kwa safari ya kaburini.…
BIG 4 MILL
WATU wawili wanaosadikiwa kuwa majambazi waliokuwa wamevaa kikekike
wameuawa na wananchi wenye hasira kali baada ya kuwakurupusha wakivunja
duka usiku.
Mauaji hayo yalitokea eneo la Nyegezi Kijiweni, Kata ya Mkolani, wilayani Nyamagana jijini Mwanza, majira ya…
0 comments:
Post a Comment