Monday, 10 June 2013


JOKATE AANZISHA KIDOTI TIME MASHULENI

Na Imelda Mtema
MLIMBWENDE aliyejitosa kwenye tasnia ya filamu za Kibongo na kufanya vizuri, Jokate Mwegelo ‘Kidoti’ ameanzisha Kipindi cha Kidoti Time ambacho kitafundishwa katika shule za Msingi 27 Songea vijijni Mkoani Ruvuma.

0 comments:

Post a Comment

My Blog List