BIG 4 MILL

big4mill.blogspot.com.

Usisite kutembelea blog yako

Karibu nawe mahali popote... - big4mill.blogspot.com.

Tunaishi pamoja wakati wowote

http://www.big4mill.blogspot.com for more info - big4mill.blogspot.com.

Kazi zetu ni...

Tunaelimisha, kuburudisha na kadhalka.

Pata habari mbalimbali

Ndani na nje ya Tanzania/ kitaifa na Kimataifa - big4mill.blogspot.com.

Saturday, 15 June 2013

Mangula: CCM haitakiwi kutoa maoni

  • Akichambua baadhi ya vipengele vya rasimu hiyo, Chikawe  alisema haoni kama ni vyema katiba kuruhusu wananchi kumvua ubunge, mbunge ambaye hajatimiza wajibu wake kwani hali hiyo itazua vurugu na fitina.
SHARE THIS STORY
0
Share


Makamu Mwenyekiti wa CCM Taifa, Philip Mangula amesema viongozi wa chama hicho hawatakiwi kuichambua rasimu ya katiba mpya na kutoa maoni binafsi na badala yake wataitembeza rasimu hiyo kwa wanachama ili waikosoe.
“Unajua sisi ni viongozi na hatutakiwi kutoa maoni binafsi, sisi tunawawakilisha wananchi ambao ni wanachama wa CCM, tutawaplekea hao ili watoe maoni yao” alisema Mangula.
Alisema ni vigumu kwa kikao kimoja cha Kamati Kuu  ya CCM kutoa maoni kwa sababu hao ni wawakilishi tu wa chama, hivyo wanachama wote wa chama hicho watapelekewa rasimu wakaichambue ndipo chama kitatoa msimamo wake.
“Sisi viongozi hatutoi maoni tutaipeleka rasimu kwa wanachama wetu  zaidi ya 6,000 tuyasikie wanayosema, kwa sababu hao ndiyo wananchi” alisema Mangula Waziri wa Sheria na Katiba, Mathias Chikawe alizungumza na gazeti hili na kusema kuwa  ni vyema kama  wananchi ambao CCM inawawakilisha wakatoa  maoni kuhusu rasimu hiyo, ingawa nao viongozi wanaweza kuchangia maoni yao kama wananchi wa kawaida.
Akichambua baadhi ya vipengele vya rasimu hiyo, Chikawe  alisema haoni kama ni vyema katiba kuruhusu wananchi kumvua ubunge, mbunge ambaye hajatimiza wajibu wake kwani hali hiyo itazua vurugu na fitina.  Alisema kwa kuwa siasa  unafananishwa na mchezo mchafu, wapinzani wa ndani ya chama wanaweza kufanya fitina na mbunge aliye

Friday, 14 June 2013


Pentezel amtangaza rasmi mwanaye Karliks

, Jack Pentezel ametangaza rasmi kuwa na mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka sita hivi sasa na kumtaja jina kuwa anaitwa Karliks
.
Akizungumza na Mwananchi, Jack alisema hajawahi kuweka wazi awali, lakini kwa sasa anaona umuhimu wa kufanya hivyo kwa kuwa ameolewa hivyo lazima familia yake iwe huru.
“Siku kubwa sana katika maisha yangu ni ile ambayo nilipata mtoto wangu wa kwanza, mimi na mume wangu Gander tumekutana akijua kwamba mimi nina mtoto
Kwa sababu nilikuwa namwomba Mungu anipe mtoto wa kwanza wa kiume, ilikuwa furaha yangu sana kumpata huyo huyo wa kiume. Anaitwa Karliks na ana miaka sita sasa.
Mwigizaji huyo anayetamba katika filamu mbalimbali alifunga ndoa na mumewe Machi mwaka huu (Herieth Makweta)



Mwigizaji wa filamu nchini, Jack Pentezel BIG 4 MILL

MATONYA BADO ANAHANGAIKA RUMANDE SONGEAAAAA

Posted 22 hours ago
Dar. Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Seif Shaban maarufu kama Matonya bado anaendelea kusota rumande mjini Songea baada ya kukataliwa dhamana kutokana na kufanya utapeli baada ya kulewa kupita kiasi na kushindwa kufanya shoo iliyoandaliwa na promota mmoja.

MO 7 MSANII MPYA AJA NA UPINZANI MKUBWA IN THE GAME

Posted 22 hours ago
Dar. Mwimbaji wa muziki wa miondoko ya mduara na kwaito Mosi Shabani a.k.a Mo 7 amesema bila kuwezeshwa na wadau wa sekta ya sanaa nchini vipaji vya wasanii chipukizi haviwezi kusonga mbele....

THE PLATNUM DIAMOND ASEMA ANAKUJA NA BONGE LA STYLE ON THE STAGE


Dar. Waliofika mwaka jana katika Tamasha la Usiku wa Matumaini wanatambua kitu gani alikifanya Nasibu Abdul ‘Diamond’ katika uwanja huo, sasa basi mwaka huu mkali huyo amesema ataongeza hamasa kwenye shoo ili kupata mashabiki wengi watakaochangia mfuko wa Mamlaka ya...

My Blog List